by rahim kassonga (La Captain)
Ligi ya mkoa wa katavi imemalizika hii leo, kwa mchezo mmoja
ambao ulikuwa wa kukamilisha ratiba baada ya jana timu ya Mpanda United kuibuka
bingwa wa ligi hiyo baada ya kufikisha jumla ya point 10 katika ligi ndogo ya
mzunguko wa pili ambayo ilikuwa na jumla ya timu tano.
kombe la bingwa wa mkoa |
kaimu katibu mkuu wa karefa (katikati ) akiwa na mgeni rasmi Galius Mgawe |
kocha wa majalila akitoa maelekezo kwa wachezaji wake |
mchezaji wa majalila akipiga faulo |
mashabiki wakifurahia burudani ya mpira |
wachezaji wa mbugani wakiwa wamekata tamaa baada ya kukosa penati |
kapteni wa mbugani akipokea zawadi kutoka kwa mgeni rasmi |
shije luvinza kapeni wa majalila akipokea mpira |
mwakilishi wa washindi wa pili timu ya makanyagio akipokea mpira |
mwakilishi wa polisi akipokea mpira |
mwakilishi wa mpanda united akipokea mpira |
Geofrey Augustino maarufu kama KANYOKA akiwa amebeba kombe la ubingwa wa mkoa |
MSIMAMO WA
LIGI YA KATAVI MZUNGUKO WA PILI
1
|
MPANDA
UNITED
|
10
|
2
|
POLISI
KATAVI
|
7
|
3
|
MAKANYAGIO
FC
|
5
|
4
|
MAJALILA
FC
|
4
|
5
|
MBUGANI FC
|
0
|
kapteni wa mpanda united akipokea kombe toka kwa mgeni rasmi |