contacts/advertise here

4 comments:

  1. MWANZO WA MAFANIKIO HUANZA TARATIBU KUCHOMOZA KAMA VILE JUA LA ASUBUHI LINAVYOCHOMOZA TOKA MASHARIKI, MPANDA FM, IMEANZA VIZURI KUCHOMOZA NA HAKIKA MPANDA PATAKUCHA MUDA SI MREFU.

    Mwidima Daudi, Mwanasheria, na Mtalaamu wa kompyuta 0756 16 29 25

    ReplyDelete
  2. Mpanda fm mko juu sana zaidi ya watu wanavyo fikiria big up presenter wote wa mpanda

    ReplyDelete
  3. Mpanda FM mnajitahidi kwakweli kutangaza na kuburudisha, lakini naomba niwashauri: samahani kama nitawakwaza, MAADILI 'ETHICS' bado ni kipengele ambacho hamjafanya vizuri, watangazaji walio wengi mavazi yenu hayaendani na PROFESSION ya wanahabari, mnakuja kutafuta habari ofisini baadhi yenu mmevaa ovyoovyo hata mtu kusadiki kama nyie ni wanahabari wa Mpanda FM inakuwa vigumu. naipenda sana Mpanda FM. naomba wanahabari ambao maadili yao hayako okay wajirekebishe. MSINICHUKULIE VIBAYA, HAYO NI MAONI YANGU. ni mimi mdau wa kataviinfocentre.

    ReplyDelete
  4. Naitwa Goodluck Christopher ni mwanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari cha Time School of Journalism [TSJ] Dar es salaam, Nilikua naomba kuuliza utaratibu wa kufanya fild Mpanda Radio.

    ReplyDelete