Na: rahim kassonga (La Captain)
UONGOZI WA MPANDA FM RADIO, WAALIKWA KAMA WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI HUKO TAMBAZI (makazi ya wakimbizi katumba)
|
msafara wa Mpanda FM radio ukiwa kwenye ofisi za mkuu wa makazi katumba, kwa ajii ya kujitambulisha na kupata kibali cha kuingia makazi |
|
Tunu Lugombe akifanya yake wakati Mpanda FM radio wakisubiri hatua za ofisi ya makazi |
|
Babuu the suka akipoza mtambo wake baada ya kuvunja rekodi ya kutembea dakika 18 Mpanda -Katumba |
|
Msafara wa Mpanda FM radio upo Tambazi-Katumba kwenye shule ya msingi Tambazi |
|
Mgeni rasmi, meneja wa Mpanda FM radio akiingia eneo la tukio |
|
waalikwa Mpanda FM radio wakiwa meza kuu, tayari kwa kuanza ratiba za mahafali yaliyofana sana |
|
meza kuu wapili kulia ni mkuu wa shule, katikati mgeni rasmi |
|
baadhi ya wanafunzi wa Tambazi na waagwa |
|
wanafuzi wa Tambazi wakifuatilia kwa makini utaratibu mzima |
|
baadhi ya wahitimu |
|
wanaTambazi na baadhi ya wanafunzi waliohudhuria mahafali hiyo |
|
mchungaji akifungua mahafali kwa maombi |
|
wananchi wa Tambazi wakisikiliza kwa makini maneno toka meza kuu |
|
mkuu wa shule akitambulisha watumishi wake kwa mgeni rasmi |
|
mtangazji wa Mpanda radio akituma tukio hilo live radioni, huku akipata ulinzi mkali toka kwa bodyguard (kassonga) |
|
Captain kassonga akiwa kazini |
|
meneja wa mpanda FM radio na Tunu Lugombe wakiwa meza kuu |
|
waagwa wa shule ya msingi Tambazi 2013, wakitoa burudani |
|
mapanga shaaaaaaaa, pia yalikuwepo |
|
waagwa akiyakata mapanga |
|
burudani za kutosha zilikuwepo |
|
pozi za graduuuuuuu |
|
ngonjera nazo hazikuwa nyuma |
|
wanafunzi darasa la kwanza hadi la tatu akiburudisha kwa ngonjera |
|
watangazaji wa Mpanda FM radio wakifuatilia burudani kwa makini |
|
meneja wa Mpanda FM radio akiwa makini na matukio ya graduuuuu |
|
pozi la menejaaaaaaaaaaaaaaaa |
|
MC wa tukio hilo alikuwa na makeke mengi na kutoa burudani ya aina yake hapa akiwa kwenye poziiii |
|
wanafunzi waagwa akitoa burudani |
|
sio kama wamechoka bali ni pozi la umakini wa matukio |
|
burudani zilipochanganya, meza kuu ilishindwa kujizuia kwa kucheka |
|
wahitimu wakisoma risala kwa mgeni rasmi |
|
mgeni rasmi akijiandaa kupokea risala |
|
mgeni rasmi akipokea risala toka kwa waagwa |
|
baada ya kusoma risala, waagwa aliondoka kwa kustua kijoti na kutoa burudani babu kubwa |
|
mgeni rasmi akiipitia risala na kunong'ona kitu na tunu lugombe |
|
mgeni rasmi anatoa zawadi ya mwanafunzi bora kwa upande wa taaluma |
|
mtoto wa mwalimu lazima awe na akili, hapa mtoto wa mwalimu na mama yake akipokea zawadi |
|
bodyguard yupo makini na kazi yake |
|
mwanafunzi aliyepokea zawadi ya usafi akipongezwa na walimu wake na kupewa zawadi ya vyoda |
|
zawadi zikiendelea kutolewa |
|
meza kuu ilipomaliza kutoa zawadi |
|
kutoa zawadi kazi hadi kiu!!!!!!!!! |
|
waagwa akisikiliza nasaha kwa makini na nidhamu ya hali ya juu |
|
waagwa akishangilia nasaha nzuri toka kwa mgeni rasmi Meneja wa Mpanda FM radio |
|
mwanafunzi huyu alikuwa burudani na kuwavutia wengi kwani alikuwa mcheshi, akihusika kila tukio, bingwa wa viduku lakini pia aliwafunika wanafunzi wenzake wote kitaaluma .....kweli wanawake wanaweza |
|
meneja wa Mpanda FM radio Gerard Seti Sedekia akitoa hutuba kwenye mahafali |
|
menejaaaaa, tabasam hilooooooooooo |
|
mkuu wa shule na meneja Seti wakiwa tayari kwa picha ya pamoja na kupokea zawadi toka waagwa |
|
hapa katika picha ya pamoja |
|
meneja baada ya kupokea zawadi toka kwa waagwa |
|
serikali mpo wapi????? oneni shule yenu hii imeisahau? darasa hili ni baadhi ya madarasa machache yanayohitaji ukarabati shuleni Tambazi |
|
usafiri wetu |
|
wazazi wakibebelea zawadi tayari kuwapa waagwa |
|
mtangazaji wa mpanda fm radio akiwa kwenye tanki la maji ambalo linatumika kuvunia maji ya mvua na huu ni mfano wa kuigwa kwa shule zingine |
|
ni kama utaliii |
|
pozi la bodyguardddddddddddd |
No comments:
Post a Comment