BAADHI YA PICHA ZA MWENGE SIKU YA TAREHE 17/07/2013, ZIKIONYESHA UFUNGUZI WA KITUO CHA RADIO MPANDA FM 97.0
Jengo la kituo cha radio MPANDA FM kwa mbele ambalo lilizinduliwa tarehe 17/07/2013 na mbio za mwenge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Baadhi ya watangazaji wa kituo cha radio Mpanda fm kutoka kushoto mbele ni ANNA CHUBWA, FATUMA AMASI, AZIZA SEIF, JACKSON NYAMSUKA(PAJO) na waliosimama nyuma kutoka kulia ni TIDA SAIDEYA
No comments:
Post a Comment