Friday, 5 September 2014

TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA KWA ASILIMIA 124


 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) juu ya mafanikio ya uzalishaji wa chakula nchini kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuregenzi wa Mipango na Uendeshaji wa NFRA, Anna Ngoo. 
 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa na kushoto ni Mkuregenzi wa Mipango na Uendeshaji wa NFRA, Anna Ngoo. 
 Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) na waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza. 
 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza, akiangalia magunia ya vyakula yaliyohifadhi wa kwenye ghala la Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) baada ya kuzungumza na waadhishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza, akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa waandishi wa habari kabla ya kuondoka kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA).Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa. Picha na Hussein Makame-MAELEZO.

WAREMBO WACHANGANYWA VIBAYA NA PENZI LA MR NICE

wengine tumeolewa na tuna familia zetu  na tunamueshimu Mr nice kama msanii mwenzetu na kama kaka yetu,  na ndugu zetu na tunawaeshimu sana na wao wanatueshimu sasa wanavyosikia mambo kama haya wanajisikia vibaya kabisa .Solange akiwa na Mr nice wanashuti movie Location
Sababu tu wao wanavyokazania kuwa sisi tumelala kweli na mr nice kwa kweli nashindwa kuwaelewa .na  naona  mtu kuwa msanii kunatokea  vitu vingi na kwasasa naona kuwa msanii ni vita vikubwa Sana kwa sababu inaomba mtu awe mvumilivu  Sana si mchezo kabiasa haya mambo
1476365_778923798791058_435752319_n
1486595_743010015727718_1778987873_nAsante ila  bado sijapoa maana hawa watu hawataki kabisa kuelewa kuwa sisi ni wasanii tu na kila kitu tunachokifanya ni kuigiza kwa lengo la kufundisha , maana sisi

Wednesday, 3 September 2014

DIMPOZ NUSURA ASHUSHWE JUKWAANI



Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ juzikati alipata wakati mgumu baada ya mademu kumvaa na kutaka kumporomosha jukwaani wakati wa shoo ya Nani kama Mama iliyofanyika katika Ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wakimng'ang'ania msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ wakati wa shoo ya nani kama Mama.
Katika usiku huo, wiki iliyopita, Ommy Dimpoz alikuwa akimsindikiza Christian Bella, aliyekuwa akizindua albamu yake iitwayo Nani kama Mama.
Mashabiki wakizidi kumng'ang'ania Dimpoz.
Ommy Dimpoz alifanya makamuzi ya nguvu ambapo warembo kadhaa walimvaa jukwaani na kumng’ang’ania, huku wakionekana kuzungumza maneno ya kumshawishi kimahaba, lakini mkali huyo wa kibao cha Baadaye ‘aliwapotezea’.

Stereo: ilinibidi kuisubiri Usione Hatari



Rapa Stereo ambaye ameachia kwa mashabiki wake kolabo yake ya Kimataifa, "Wako", featuring Victoria Kimani, ameweka wazi sababu za kazi hii kuchelewa kuachiwa, ambapo amesema kuwa ni kutokana na Video ya Usione Hatari kuchelewa kutoka.

Victoria Kimani na Stereo
Stereo amesema kuwa, aliamua kutoa muda kwa kazi yake hii iliyotangulia, Usione Hatari kuwakaa mashabiki wake kabla ya kuwahamishia katika jiwe jingine, Wako ambalo tayari limepokelewa vizuri mitaani na mashabiki wa muziki.
Kuhusiana na video ya kazi hii mpya ya kimataifa, Stereo amesema kuwa baada ya wiki mbili tatu, atakuwa ameweka mambo kwenye mstari.

#Exclusive: Diamond Platnumz azungumza kwa mara ya kwanza mambo 6 kuhusu fujo zilizotokea Ujerumani

Screen Shot 2014-09-01 at 12.16.12 AMKuanzia siku tatu zilizopita stori kubwa kwenye kiwanda cha burudani Tanzania imehusu fujo zilizotokea Ujerumani kwenye show aliyokwenda kufanya Diamond Platnumz huko Stuttgart.
Kilichotokea ni kwamba saa kumi alfajiri ndio promota alimpeleka Diamond kwenye ukumbi kunakofanyika show. Kwa nini ilitokea akamchelewesha? nini kilitokea baadae? hizi hapa chini ni kauli za Diamond mwenyewe kwenye exclusive na
1. ‘Mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa tatizo lilikua nini, siamini kama tatizo lilikua ni hela, balance iliyokua imebaki ni balance ndogo kama EURO 3500 hivi ambazo ni zaidi ya milioni 7 za Tanzania, ninavyojua Mapromoter wengi wa nje wakifanya show huwa wanauza na vinywaji wenyewe na wanapata hela nyingi sana kwenye vinywaji kuliko hata viingilio so nahisi labda walivuta muda ili waendelee kuuza vinywaji zaidi’
2. ‘Walichelewa kunipeleka kwenye show, walinifata kwenye mida ya saa tisa usiku na wakawa hawana hela yangu iliyobaki, nikawaambia siendi kokote mpaka wamalize kunilipa, walikua na EURO 1500 wakati nilikua nawadai 3500 nikawaambia lazima wanipe hela yote, wakaifata ndio tukaenda kwenye show’
Screen Shot 2014-09-01 at 12.16.38 AM3. ‘Tukafika kwenye show saa10 kasoro, kweli hata ningekua mimi shabiki ningekasirika ningefanya vurugu, wengine walilipa zaidi ya laki moja na wametoka kwenye miji na nchi jirani, niliwaambia wanipeleke nikafanye show ndani ya ukumbi japo tulikuta watu wengi sana nje lakini Mapromota walikua waogawaoga kunipeleka ndani’
4. ‘Nikakuta watu wengi na vurugu nje, nikamwambia promota atupeleke ndani tungefika kwenye stage ingetulia baada ya sisi kuimba manake ni vitu tunakutana navyo kwenye muziki lakini promota walikua waogawaoga, askari wa Ujerumani karibu gari 7 wakaja pale lakini mtiti ukawa mkubwa’
5. ‘So dakika ya mwisho tukaona hapashukiki ndio wakaturudisha hotelini, kiukweli nimesikitishwa sana manake nilikua nimejipanga vizuri na ilikua ni mara yangu ya kwenda kuperform pale Stuttgart, imenisikitisha manake watu walikua kuniona alafu mwisho ikashindikana kuwafikishia walichokitarajia’
Screen Shot 2014-09-01 at 12.16.59 AM6. ‘Nafikiri October tutakua na show nyingine na itafanyika kulekule, nilikua nazungumza na uongozi wangu kwamba wanataka show nyingine na tayari wameshatuma hiyo hela ya show nyingine’
Unaweza kumsikiliza Diamond mwenyewe kwa kubonyeza play hapa chini.

HUU NDO UTAJIRI WA MWANASOKA DROGBA..HILI NDO JUMBA ANALO KAA NA MAGARI ANAYO MILIKI


  
  
Didier Yves Drogba Tébily (French pronunciation: [didje dʁɔɡba]; born 11 March 1978) is an Ivorian footballer who plays in the centre forward position. He currently plays forChelsea in the Premier League, where he is deputy vice-captain, and is the captain andall-time top scorer of the Côte d’Ivoire national football team. He has scored more goals for Chelsea than any other foreign player and is currently Chelsea’s fourth highest goal scorer of all time. His key attributes include his physical strength, ability in the air, and his power to retain possession of the ball.
 
 
Wife
 
 
Cars
 
House
 
 
Drogba’s house In England, estimated at 14.5M pounds
There you have it! The lives of Africa’s prolific footies….who’s winning so far?

HUU NDO UTAJIRI WA MWANASOKA DROGBA..HILI NDO JUMBA ANALO KAA NA MAGARI ANAYO MILIKI


  
  
Didier Yves Drogba Tébily (French pronunciation: [didje dʁɔɡba]; born 11 March 1978) is an Ivorian footballer who plays in the centre forward position. He currently plays forChelsea in the Premier League, where he is deputy vice-captain, and is the captain andall-time top scorer of the Côte d’Ivoire national football team. He has scored more goals for Chelsea than any other foreign player and is currently Chelsea’s fourth highest goal scorer of all time. His key attributes include his physical strength, ability in the air, and his power to retain possession of the ball.
 
 
Wife
 
 
Cars
 
House
 
 
Drogba’s house In England, estimated at 14.5M pounds
There you have it! The lives of Africa’s prolific footies….who’s winning so far?

Saraha kutangaza utamaduni wa TZ


Msanii wa muziki Saraha ambaye anafanya kazi zake za muzik nchini Sweden, amezungumzia ujio wake mpya kupitia kazi inayokwenda kwa jina 'Shemeji' ambayo inatangaza utamaduni na muonekano wa kitanzania, licha ya asili yake ya kizungu.

msanii wa bongofleva nchini Tanzania Saraha
Saraha amesema kuwa video ya kazi hii mpya ameifanyia hapa hapa Tanzania kupitia muongoza video Ray Kasoga huku akitumia madansa na mavazi yaliyobuniwa pia Tanzania, licha ya kazi hii kutengenezwa nje ya nchi.

MPANDA FM NA MATUKIO:JIONEE PICHA ZA KINYANG'ANYIRO CHA KATAVI MISS UTALII 2014@NEW SUPPER CITY

Add caption