Mahakama ya Rufaa kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya sh. milioni 13 na kumuachia huru staa
wa filamu za kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa yupo huru baada ya kulipa faini hiyo ambapo hivi karibuni
mumewake Faraji Agostini amekata rufaa ingawa teyari imeshapingwa.
Faraji anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya
kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema wiki hii.
No comments:
Post a Comment