Thursday, 28 August 2014

MADEE, NAY WA MITEGO WAMALIZA BIFU!

WASANII waliokuwa wakipigania cheo cha urais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’, na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hatimaye wamemaliza tofauti zao baada ya kudumu kwenye bifu kwa muda mrefu.

Mkali wa Bongo fleva,Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.
 Ishu hiyo imejidhihirisha kwenye mbio za Serengeti Fiesta 2013, ambapo muda mwingi wamekuwa wakishirikiana kwenye kazi zao za muziki na hata kupeana lifti na kupanda gari moja jambo ambalo hapo mwanzo lilikuwa haliwezekani.
Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’.
 Agosti 23, mwaka huu wasanii hao walitinga jijini Tanga pamoja wakitokea Dar  ambapo Nay wa Mitego ndiye aliyekuwa amepewa lifti kwenye gari ya Madee, bila hiyana Nay alisisitiza kwamba wamemalizana kimyakimya.
 “Yale yalikuwa mambo ya jukwaani zaidi, tumeyamaliza, kwa sasa tuko poa,” alisema Nay.

HAYA NDIO MAKUBWA USIYOYAJUA KUHUSU MZIWANDA NA SHILOLE NI HATARI TUPU

STAA wa Bongo Fleva, Nuh Naftari Mlawa ‘Nuh’ amefunguka ya moyoni kuhusiana na kipaji chake na kusema kuwa ‘sexy lady’ wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ndiye aliyempa mwanga kunako gemu ya Bongo Fleva.Akikisanua kupitia Global TV Online juzikati, Mziwanda alimshukuru Shilole na kuongeza pia kujichora kwake mchoro mkononi wenye jina la bidada huyo ni kuweka historia kuwa alishawahi kutokea mtu wa muhimu maishani mwake.

“Zamani nilikuwa nafanya muziki lakini nyota yangu haikung’aa kihivyo, baada ya kumpata Shilole nyota zetu zikaonekana kuwa sawa hivyo nikang’aa japo mapenzi ndiyo yaliyotuunganisha,” alisema Mziwanda.

PICHA:STAFF MEMBERS WA MPANDA FM WAKIWA KWA SEMINA MAPICHA HAYA HAPA JIONEE VIJANA WANAVYO KULA MADINI TOKA TMF..




































Wednesday, 27 August 2014

PICHA:SEMINA YA TMF SIKU YA PILI INAENDELEA@KHANJI HALL

HAPA SEMIA SIKU YA PILI INA ANZA KI HIVII..@ MPANDA FM

CATHERINE ,SHARIFA,ALINANUSWE NA HADIJA WAKIWA SEMINANI@ KHANJI HALL


MR MUSHI AKIENDELEA KUWAPA DAWA VIJANA WA MPANDA FM


KI DIGITALI ZAIDI HAPA NI INTRODUCTION ZILEEE ZA CHUO..KITU CHA MSASA @KANJI HALL


MR MUSHI MKONGWE WA MIAKA ZAIDI YA 45 KATIKA TANSINIA HII YA HABARI AKITOKEA TIMU YA TMF(TANZANIA MEDIA FUND)AKITOA SOMO SIKU YA PILI YA SEMINA


PICHA:TMF WAKITOA SEMINA YA TRANSFOMATION@MPAMDA FM KANJI HALL


MKURUGENZI MTENDAJI WA MPANDA FM,AMIN MITHA,AKIWAONGOZA STAFF WAKE WA MPANDA FM KUPATA KISOMO CHA MUHIMU TOKA KWA,CHARLES MKUMBI(ZIMBABWE),MR MUSH,MR MILINGA NA ABDUL RAZAK TOKA TMF  SIKU YA KWANZA YA UFUNGUZI WA SEMINA HIYO


STAFF WA MPANDA FM WAKIWA KANJI HALL KWA SEMINA NA WAWEZESHAJI TOKA TMF



SEMINA  NZURI SANA ,UTULIVU,USIKIVU ULIKUWA MAKINI MNOOO HAPA BADO SHUGHULI INA ENDELEA


Tuesday, 1 July 2014

TID amtusi Ray C baada ya kumuomba wazungumze, "B**ch leave me alone...'


Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze.
Mwimbaji huyo ambaye anadaiwa kuwa mmoja wa wasanii wanaotumia dawa za kulevya huenda alihisi Ray C anataka kumletea habari za kumsaidia kuachana na matumizi ya dawa hizo kupitia Methadone.
“Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Aliandika Ray C.
Ingawa Ray C hakufafanua katika comment yake aliyoiweka kwenye post ya picha ya TID inayotambulisha Refix ya wimbo wake ‘Asha ‘ uliofanywa na Lamar,  TID aliporomosha matusi akimtaka aachana nae kabisa.
“B*tch leave me alone am not ur type also I don’t need shit from you. Ur mistake is urs nakuomba can u just f**k off, help ur boyfriend, I have never liked you, full stop.”Ameandika TID
Hata hivyo mashabiki walioandika comments zao walimshambulia tena TID kutokana na kile alichomjibu Ray C ambaye hakutaja kabisa nia ya kutaka kuzungumza na Mnyama TID.