PICHA:TMF WAKITOA SEMINA YA TRANSFOMATION@MPAMDA FM KANJI HALL
MKURUGENZI MTENDAJI WA MPANDA FM,AMIN MITHA,AKIWAONGOZA STAFF WAKE WA MPANDA FM KUPATA KISOMO CHA MUHIMU TOKA KWA,CHARLES MKUMBI(ZIMBABWE),MR MUSH,MR MILINGA NA ABDUL RAZAK TOKA TMF SIKU YA KWANZA YA UFUNGUZI WA SEMINA HIYO
STAFF WA MPANDA FM WAKIWA KANJI HALL KWA SEMINA NA WAWEZESHAJI TOKA TMF
SEMINA NZURI SANA ,UTULIVU,USIKIVU ULIKUWA MAKINI MNOOO HAPA BADO SHUGHULI INA ENDELEA
No comments:
Post a Comment