HAPA SEMIA SIKU YA PILI INA ANZA KI HIVII..@ MPANDA FM |
CATHERINE ,SHARIFA,ALINANUSWE NA HADIJA WAKIWA SEMINANI@ KHANJI HALL |
MR MUSHI AKIENDELEA KUWAPA DAWA VIJANA WA MPANDA FM |
KI DIGITALI ZAIDI HAPA NI INTRODUCTION ZILEEE ZA CHUO..KITU CHA MSASA @KANJI HALL |
MR MUSHI MKONGWE WA MIAKA ZAIDI YA 45 KATIKA TANSINIA HII YA HABARI AKITOKEA TIMU YA TMF(TANZANIA MEDIA FUND)AKITOA SOMO SIKU YA PILI YA SEMINA |
No comments:
Post a Comment