zangwinyo korobwinyo ....hatareee sana cheki nyomi mtu wangu |
sema wewe....ni ful upako mpendwa....twende kazi |
ilikuwa shangwe za ukweeee |
INAITWA MAKUHANI KWAYA,MGENI RASMI ALIKUWA MKURUGENZI WA RADIO MPANDA FM NA KWAKUWA ALIKUWA NJE YA NCHI KWA MATIBABU,ALIWAKILISHWA VEMA NA MENEJA KITUO GERLAD SETTY SEDEKIA
AKIWA SAMBAMBA NA TEAM YA WAANDISHI WA HABARI MAHIRI TOKA 97.0 MPANDA FM SAUTI YA KATAVI
RAHIM KASSONGA,BENEDICT KUZWA ,ALINANUSWE EDWARD NA TUNNU LUGOMBE AMBAYE ALIKUWA NDIYE MC WA SHUGHULI PALE KANISANI JIONEE PICHA HAPA
meneja kituo cha redio mpanda fm akikaribishwa na mchungaji na waumini kanisani |
kwakutulia ....muite baba wawili ..kiroho safi |
mc tunu lugombe...bibi...amshaaaa popooo.... |
jambooo...makanyagioooo...haya nipo hapa kwa niaba mkurugenzi...amin mitha |
mgeni rasmi...twakuomba uje uongee na wana katavi...huyu ndo mc bibi tunu |
.....naahidi kwa niaba ya mkurugenzi wa mpanda fm..kutoa milioni mbili na nusu za ku shuti video yenu...pia promo kali ndani ya 97.0 voice of katavi....sedekia setty baba wawili |
changizo likaendelea....
tuka pata risala kwa ufupi....
burudani.....
tuka maliza na kuondoka......
No comments:
Post a Comment