by rahim kassonga (La Captain)
Katika jitihada za kukuza na kuendeleza elimu hususani katika masomo ya sayansi, Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Katavi kwa tiketi ya CCM mh. Pudenciana Kikwembe ameipatia shule ya sekondari Mwangaza vifaa vya maabara vyenye thamani zaidi ya milioni mbili zikiwemo kemikali
vifaa hivyo vilikabithiwa ijumaa mchana shuleni mwangaza mbele ya mwenyekiti wa Halmashauri ya mji Mpanda mh Enock Gwambasa, Afisa elimu mji, mkuu wa shule mh. Simon Rubange, walimu na wanafunzi
mh kikwembe akiingia mwangaza sekondari |
waeni wakisalimiana, nje ya ofisi ya mkuu wa shule |
mh. kikwembe akijiandaa kusaini kitabu cha wageni ofisini kwa mkuu wa shule |
baadhi ya wanafunzi ambao waliwawakilisha wenzao kupokea msaada huo |
mh. kikwembe akitoka kusalimiana na wanafunzi |
mh. kikwembe anasisitiza jambo kuhusu mtalaam wa masomo ya sayansi wa kujitolea kutoka korea kusini ambaye yupo mwangaza sekondari |
Mr. Kim mtaalam wa kujitolea wa masomo ya sayansi kutoka korea kusini akitoa neno la shukranii na usia kwa wanafunzi |
mh kikwembe akiwahusia wanafunzi kuhusu shule, likini pia alizungumzia umuhimu wa masomo ya sayansi |
baadhi ya vifaa vilivyokabidhiwa |
baadhi ya vifaa vilivyokabidhiwa |
baadhi ya vifaa vilivyokabidhiwa |
baadhi ya vifaa vilivyokabidhiwa |
mh. akitafakari jambo na pembeni kushoto ni vifaa alivyovitoa |
Mkuu wa shule ya sekondari mwangaza akitoa shukrani zake kwa mh. Kikwembe kabla ya kupokea vifaa |
Afisa elimu mji akitoa shukrani zake na kuwahusia wanafunzi hasa wa kike umuhimu wa kusoma na kumtolea mfano mh. Kikwembe kwa ni mwanamke mwenye PHD |
Mh Enock Gwambasa , meya akisisitiza jambo kwa wanamwangaza |
Mh. Meya akitoa shukrani kwa mh kikwembe |
Mh. Pudenciana Kikwembe mbunge viti maalum |
baadhi ya walim wakisiliza kwa makini maelekezo na maagizo |
No comments:
Post a Comment