Mpanda fm events photos BAADHI YA PICHA ZA MWENGE SIKU YA TAREHE 17/07/2013,  ZIKIONYESHA UFUNGUZI WA  KITUO CHA RADIO MPANDA FM 97.0
Watatu kutoka kushoto ni kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2013 Bw.Juma Ali Simai
          

 
Jengo la kituo cha radio MPANDA FM kwa mbele ambalo lilizinduliwa tarehe 17/07/2013 na mbio za mwenge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania


Baadhi ya watangazaji wa kituo cha radio Mpanda fm kutoka kushoto mbele ni ANNA CHUBWA, FATUMA AMASI, AZIZA SEIF, JACKSON NYAMSUKA(PAJO) na waliosimama nyuma kutoka kulia ni TIDA SAIDEYA

No comments:

Post a Comment