Sunday, 7 September 2014

Exclusive,Picha Za Studio Ya Nahreel ‘The Industry’ Thamani Na Msaada Wake Kwa Underground Viko Hapa.


Producer Nahreel amefungua studio yake mitaa ya Mikocheni, Nyuma ya JKT, Dar es salaam, mpaka sasa amefanya kazi na Diamond, Weusi na wasanii wengine. Studio yake inathamani ya milioni 6. Kwenye Exclusive Interview  ,Nahreel amesema anapokea wasanii wa lebel wenye vipaji vya kuimba. Hizi Picha za studio yake.
IMG-20140907-WA0005IMG-20140907-WA0007IMG-20140907-WA0009IMG-20140907-WA0011IMG-20140907-WA0013IMG-20140907-WA0015IMG-20140907-WA0016IMG-20140907-WA0017IMG-20140907-WA0019IMG-20140907-WA0020IMG-20140907-WA0022IMG-20140907-WA0023IMG-20140907-WA0024IMG-20140907-WA0026

No comments:

Post a Comment