Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda
kama alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa
bongo flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr Sid.
Jana usiku Dr SID amepost kwenye Instagram picha akiwa studio na
Diamond na kuandika, “Studio Session with @diamondplatnumz
#AfricanPrince #NaijaTanzania”
No comments:
Post a Comment