HAYA NDIO MAKUBWA USIYOYAJUA KUHUSU MZIWANDA NA SHILOLE NI HATARI TUPU
STAA
wa Bongo Fleva, Nuh Naftari Mlawa ‘Nuh’ amefunguka ya moyoni kuhusiana
na kipaji chake na kusema kuwa ‘sexy lady’ wa Bongo Fleva, Zuwena
Mohamed ‘Shilole’ ndiye aliyempa mwanga kunako gemu ya Bongo Fleva.Akikisanua kupitia Global TV Online juzikati, Mziwanda alimshukuru Shilole na kuongeza pia
kujichora kwake mchoro mkononi wenye jina la bidada huyo ni kuweka
historia kuwa alishawahi kutokea mtu wa muhimu maishani mwake.
“Zamani
nilikuwa nafanya muziki lakini nyota yangu haikung’aa kihivyo, baada ya
kumpata Shilole nyota zetu zikaonekana kuwa sawa hivyo nikang’aa japo
mapenzi ndiyo yaliyotuunganisha,” alisema Mziwanda.
No comments:
Post a Comment