by rahim kassonga
SPURS,
CHELSEA SARE, TORRES KADI NYEKUNDU!
AVB,
MOURINHO WAPEANA MIKONO!
RATIBA/MATOKEO:
BPL:
LIGI KUU ENGLAND
Jumamosi
28 Septemba
Tottenham
Hotspur 1 Chelsea 1
Tottenham
wametoka Sare Bao 1-1 na Chelsea na kuipiku Arsenal
kileleni mwa Ligi Kuu
England lakini
Arsenal ambao wanacheza hii leo Ugenini wanaweza kurudi kileleni wakitoka Sare
na Swansea City.
Gylfi
Sigurdsson ndie alieifungia Spurs Bao katika Kipindi cha Kwanza baada ya
ushirikiano mzuri kati ya Christian Eriksen na Roberto Soldado na Mpira
kumfikia yeye.
MAGOLI:
Tottenham
1 - 0 Chelsea
Sigurdsson
Dakika ya 19
Tottenham
1 - 1 Chelsea
Terry
Dakika ya 65
Chelsea
walimwingiza Juan Mata mara Kipindi cha Pili kilipoanza na frikiki yake ndio
iliunganishwa na John Terry kwa kichwa na kusawazisha Bao.
Juan Mata alisaidia sana kubadilisha hali ya mchezo na kuingia kwake hakukuisaidia Chelsea kurudisha goli tu, bali pia kushambulia zaidi na kutaka kupata goli la ushindi
pengine kocha wa Chelsea leo atakuwa ameona uwezo na mchango wa Mata nakuanza kumwanzisha kwenye mechi zijazo
matokeo mengine
Fulham 1-0 Cardiff City
17:00
Hull City v West Ham United
17:00
Manchester United v West Bromwich Albion
17:00
Southampton v Crystal Palace
19:30
Swansea City v Arsenal
++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
NA
|
TIMU
|
MECHI
|
PTS
|
1
|
Tottenham
|
6
|
13
|
2
|
Arsenal
|
5
|
12
|
3
|
Chelsea
|
6
|
11
|
4
|
Man.
City
|
5
|
10
|
5
|
Liverpool
|
5
|
10
|
6
|
Everton
|
5
|
9
|
++++++++++++++++++++++++++++
Chelsea
walimaliza Mechi wakiwa Mtu 10 baada ya Fernando Torres kupewa Kadi ya Njano ya
pili na kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu zikiwa zimebaki Dakika 10 Mpira kwisha.
Sare
hii imewafanya Chelsea wakamate Nafasi ya 3.
Kivutio
cha Mechi hii kilikuwa mzozo kati ya Andre Villas-Boas na Jose Mourinho, Watu
ambao wanatoka Nchi moja Ureno na walifanya kazi pamoja kwa Miaka 7,
waliporushiana maneno lakini kabla ya Mechi kuanza walipeana mikono na mwisho
wa Mechi kukumbatiana.
VIKOSI:
Spurs: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Naughton, Paulinho,
Dembele, Townsend, Eriksen, Sigurdsson, Soldado
Akiba:
Chiriches, Lamela, Holtby, Defoe, Chadli, Friedel, Sandro.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Terry, Cole, Ramires, Mikel, Lampard,
Oscar, Torres, Hazard
Akiba:
Essien, Mata, Schurrle, Schwarzer, Cahill, Azpilicueta, Eto'o.
Refa: Mike Dean
++++++++++++++++++++++++++++
RATIBA:
BPL:
LIGI KUU ENGLAND
Jumapili
29 Septemba
15:30
Stoke City v Norwich City
18:00
Sunderland v Liverpool
Jumatatu
30 Septemba
22:00
Everton v Newcastle United
++++++++++++++++++++++++++++
No comments:
Post a Comment