ARSENAL KUMPA MERTESACKER MKATABA MPYA Arsenal inajiandaa kumpa Per Mertesacker mkataba mpya wa miaka mitatu, baada ya mkataba wa sasa kumalizika mwishoni mwa msimu ujao. |
Manchester United, PSG na AS Monaco wote waingia kwenye vita ya kumwania Eliaquim Mangala beki wa
FC Porto
|
Liverpool wameripotiwa kuweka mipango ya kumnasa mshambuliaji wa PSG Javier Pastore mwezi Januari, ambaye amekuwa hana furaha klabuni hapo |
No comments:
Post a Comment