Tuesday, 14 October 2014

DIAMOND;"Siwezi kumsaidia baba yangu sababu alikuwa miongozi mwa matajiri wakuwa Tanzania" stori nzima iko hapa





Katika interview yake na Sporah Show
diamond Platnumz ameongelea vituvingi sana ambavyo ajawai kuvisema.Sporah alimuuliza Diamond swali hili"Je unamsaidia baba yako,au kuna kitu chochote anachotaka au kuna kitu akipo sawa"Diamond alijibu hivi "Sio kivile.Unajua alikuwa mmoja watu  matajiri Tanzania,kwahiyo sijui kama ana pesa au hana,lakini kama hana na anataka kitu nitampa,lakini siwezi kwenda na kumuuliza kama anataka kitu,lakini naweza kumuuliza mama yangu

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-WQWpmCQ7YpD64JL-fkVWWKmBepEwUYOCPquQ_Rv5IjnGoJ_dSLi0YpfecQrsjo0mqj1py-_ixKpiKdEYX2lxZddJ8cbxx065F1jWogPR7j7VkEhdMHvOTgh1qa-VwqRA1jgGmeCIn-3n/s1600/IMG_4455.JPG 

 Sporah alimuuliza Diamond kama baba yake alimkataa kwenye umri mdogo alimrudiha pale aliposikia Diamond ametoka kimuziki na Diamond alifunguka hivi.
"Yes alinirudia na mimi nikamwambiia siwezi kukuchukia baba lakini sitakuwa na mapenzi ambayo mtoto inabidi awenayo kwa baba yake,lakini yeye bado ni baba yangu,na ataendelea kuwa baba yangu,lakini ukija kwa mama yaangu ni mama yangu uwezi kumlinganisha na baba yangu,ni tofauti kabisa


http://3.bp.blogspot.com/--EXhHPZleqU/Um_66WIct3I/AAAAAAAAJ44/PvQP9NtR4cg/s640/BABA+DIAMOND.JPG
Sporah aliendelea kumuukiza ni uhusiano gani hasa unaoendelea baina yeye na baba yake
"Ni wa kawaida.Natakaa na mama yangu siwezi kukaa mda mrefu bila kuwasiliana na mama yangu lakini naweza kukaa hata mwezi bila kuwasiliana na baba yangu,najaribu mara nyingine lakini siwezi sababu sijazoea

No comments:

Post a Comment