by rahim kassonga
KAKAO CHA TATU CHA KAMATI YA USHAURI (RCC) MKOANI KATAVI
chaadhimia kuboresha sekta mbalimbali mkoani Katavi
|
Dkt.Rajabu
Lutengwa mwenyekiti wa kikao hicho akifungua kikao |
|
baadhi ya wajumbe wa mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa idara ya maji mjini Mpanda wakisiliza kwa makini hoja toka kwa mwenyekiti |
|
mwenyekiti wa kikao hicho Dr Rajabu Rutengwe akijibu hoja za wajumbe |
|
ukumbi wa idara ya maji ambapo ndio kikao hicho kilifanyikia |
|
wajumbe wakisiliza kwa makini mada toka kwa wawasilishaji |
|
miongoni mwa wajumbe waliohudhuria kikao hicho |
|
Katibu tawala wa mkoa, ambaye pia ndio alikuwa katibu wa kikao hicho |
|
wajumbe wa kikao cha RCC wakisikiliza mada |
|
RPC mkoa wa Katavi kamanda Dhahiri Kidavashari akifuatilia kwa makini mikhutasari ya kikao hicho |
|
wajumbe wa kikao wakinakili dondoo muhimu za kikao hicho |
|
mjumbe wa kikao hicho akichangia jambo |
|
mjumbe wa kikao akichangia jambo kwenye kikao hicho |
|
kamanda Kidavashari akitoa maoni yake kwenye kikao hicho |
|
kamanda Kidavashari, akiweka maiki sawa kwa ajili ya kutoa maoni yake kwenye kikao hicho |
|
technolojia haikuwa nyuma kwenye kikao hicho |
|
manufaa ya EPZA yakiainishwa kupitia technolojia ya projector |
|
mmoja wa watoa mada akisisitiza jambo kwenye kikao hicho |
|
baadhi ya wajumbe wa kikao |
No comments:
Post a Comment