Kocha wa Ghana Kwesi Appiah amewaita kwenye
Kikosi chake cha kuikabili Egypt hapo Oktoba 15 huko Kumasi ambapo Mshindi ndie anapewa Tiketi
ya kwenda Brazil Mwakani kucheza Fainali za Kombe la Dunia, Wakongwe Sulley
Muntari na Kipa Richard Kingson kwenye Kikosi cha Wachezaji 25.
Muntari, mwenye Miaka 29 na anachezea AC Milan
huko Italy, aliachwa kwenye Kikosi cha Ghana cha Mwezi Septemba kilichoibwaga
Zambia na kufuzu kucheza Raundi ya Mwisho ya Mtoano dhidi ya Egypt.
KOMBE LA DUNIA 2014 AFRIKA
Raundi ya Mwisho ya Mtoano
RATIBA:
[kwa saa za kitanzania]
Mechi za Kwanza:
Jumamosi Oktoba 12
19:00 Burkina Faso v Algeria
20:00 Ivory Coast v Senegal
Jumapili Oktoba 13
16:00 Ethiopia v Nigeria
20:00 Tunisia v
No comments:
Post a Comment