Taarifa
zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haule
'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi
akijaribu kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka
nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari
lake limeharibika.
No comments:
Post a Comment