by rahim kassonga
KAKAO CHA TATU CHA KAMATI YA USHAURI (RCC) MKOANI KATAVI
chaadhimia kuboresha sekta mbalimbali mkoani Katavi
 |
| Dkt.Rajabu
Lutengwa mwenyekiti wa kikao hicho akifungua kikao |
 |
| baadhi ya wajumbe wa mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa idara ya maji mjini Mpanda wakisiliza kwa makini hoja toka kwa mwenyekiti |
 |
| mwenyekiti wa kikao hicho Dr Rajabu Rutengwe akijibu hoja za wajumbe |
 |
| ukumbi wa idara ya maji ambapo ndio kikao hicho kilifanyikia |
 |
| wajumbe wakisiliza kwa makini mada toka kwa wawasilishaji |
 |
| miongoni mwa wajumbe waliohudhuria kikao hicho |
 |
| Katibu tawala wa mkoa, ambaye pia ndio alikuwa katibu wa kikao hicho |
 |
| wajumbe wa kikao cha RCC wakisikiliza mada |
 |
| RPC mkoa wa Katavi kamanda Dhahiri Kidavashari akifuatilia kwa makini mikhutasari ya kikao hicho |
 |
| wajumbe wa kikao wakinakili dondoo muhimu za kikao hicho |
 |
| mjumbe wa kikao hicho akichangia jambo |
 |
| mjumbe wa kikao akichangia jambo kwenye kikao hicho |
 |
| kamanda Kidavashari akitoa maoni yake kwenye kikao hicho |
 |
| kamanda Kidavashari, akiweka maiki sawa kwa ajili ya kutoa maoni yake kwenye kikao hicho |
 |
| technolojia haikuwa nyuma kwenye kikao hicho |
 |
| manufaa ya EPZA yakiainishwa kupitia technolojia ya projector |
 |
| mmoja wa watoa mada akisisitiza jambo kwenye kikao hicho |
 |
| baadhi ya wajumbe wa kikao |
No comments:
Post a Comment