Wednesday, 17 September 2014

HIVI NDIVYO AUNT EZEKIEL ANAVYO KULA BATA NCHINI MAREKANI



Hapa Aunt Ezekiel akipta ukodak na mashabiki wake Rose Millo kushoto na Alpha kulia Nyumbani kwa Ny Ebra. Rose na Alpha ni wageni wa Ny Ebra kutoka Tanzania wapo New York kikazi na walifurahi sana kukutana na Aunt Ezekiel na kupata fursa ya kupata ukodak.
Ros na Alpha pia wakipata ukodak na Cassim Mganga tajiri wa mahaba kiroho safi.

No comments:

Post a Comment