Msanii nyota wa filamu za kibongo, Jennifer Kyaka Odama akiwa kwenye pozi la kimahaba na anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu.
MSANII nyota
wa filamu za kibongo, Jennifer Kyaka maarufu kwa jina la kisanii kama
Odama, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita alinaswa Live akiwa kwenye
pozi la aina yake akiwa na pedeshee maarufu jijini Dar anayefahamika
kama Papaa Daudi ambaye anadaiwa kuwa mume wa mtu.Wawili hao
walinaswa wakiwa kwenye pozi hilo ndani ya Ukumbi wa Ten Lounge uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam ambapo Odama alikuwa akimdekea mwanaume huyo kama mtu wake wa karibu.
walinaswa wakiwa kwenye pozi hilo ndani ya Ukumbi wa Ten Lounge uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam ambapo Odama alikuwa akimdekea mwanaume huyo kama mtu wake wa karibu.
Wakiwa
ukumbini humo, wawili hao walionekana kupata kiburudisho kwa namna yake
huku mara kwa mara wakigonga ‘chiaz’ na kunyweshana mvinyo na kuwafanya
waliokuwa karibu yao kuwaonea gere.ENDELEA>>
No comments:
Post a Comment