Picha,Huyu Ndio Mtoto Anayewaleta Pamoja Ciara Na Future
Rapper Future na Ciara walioripotiwa kutengana mwezi moja nyuma wamepatana na kukubaliana kujenga familia yao. Hizi picha mbili za mtoto Future Zahir mwenye miezi minne akiwa na mama yake Ciara.
No comments:
Post a Comment