Wednesday, 17 September 2014

NDOA YA DADA 'AKE DIAMOND NA PETIT MAN CONFIRMED...MWENYEWE AFUNGUKA KIIVI!



Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa
kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.

No comments:

Post a Comment