Rappa Mwanza ambaye msimu ulifanikiwa kumuwakia na kuwa mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya Serengeti Super Nyota Young Killer amehusishwa tukio la kutoa mahari kimya kimya bila kumfahamisha mtu.
Mezani ,Young Killer ameulizwa kuhusu madai hayo ambayo inasemekana mzazi wa msichana anayetajwa kuishi nae Halimaty alimwambia Young Killer kuwa kama asipotoa mahari atampiga ‘Allah Badili’
Young Killer alipopigiwa kadai yuko kwenye ndege anajiandaa kwenda Musoma hivyo ametakiwa kuzima simu na kuahidi atampigia baadae simu

No comments:
Post a Comment