Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta
na mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Ally Juma Othman Ally kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma
Septemba 4, 2014
Wajumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pida na
Anne Kilango Malecala wakiteta
kwenye viwanja vya Bunge mjini
Dodoma Septemba 4, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la
Katiba,
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
,Mohamed Raza (kushoto) na Ally
Juma Othman Ally (katikati)
wakizungumza kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma Septemba 4,
2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimana na Meya wa Songea,
Charles Mhagama,kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma Septemba 4,
2014. Katikati ni Mbunge wa Songea
mjini ,Dr. Emmanuel Nchimbi.Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment