Wazee na wakazi wote Mkoani Kataviwa metakiwakujitokeza katika maadhimisho ya siku ya wazee,yanayotarajiwa kufanyika Oktoba mosi mwakahuu.
Akizun
AidhaBagayaa mesemakuwa maadhimishohayoyatakayotanguliwanakongamano
la zaidiya wazee 400 wakitaifa kutokanje yamkoa waKatavi watashirikiana nawakaziwamkoawaKatavi ambapo kongamano linatarajiwakufanyikaOktoba
30.
Sherehehizi zinamlengamzeemojakwamoja ikiwanikuangaliamasualambalimbali yanayohusuwazee ikiwanipamojanamasualayakijamii,kimila,siasanakiuchumi.
KatikamaandaliziyaSherehehizoseptemba 25
itakuwaniujenziwamabandakatikaViwanjavyaKashaulili,septemba 26 na 27
itakuwaniugawajiwamabandakwawahusika,septemba 28 itakuwakupokeawageni,septemba
29 itakuwaniuzinduziwashereheSeptemba 30 itakuwanikongamano la wazeekujadili
mambo
yawazeeyanayowezakutekelezwanaserikaliambaposikuyaOktobamosiyatakuwepomaandamanoyatakayoanziaHospitaliyaWilayakuopitiabenkiya
CRDB hadiviwanjavyaKashaulili.
KatikasherehehizozasikuyawazeekitaifayatakayofanyikameimosimwakahuuMkoaniKataviyanayatarajiwakuzinduliwanaMkuuwaMkoawaKataviRajabuRutengwemgenirasmiakiwaniWaziriMkuuwaJamhurinyaMuunganowa
Tanzania MizengoKayanza Peter PindaambapokaulimbiumwakahuuniWazeeWasiachweNyumaTujengeJamiiShirikishi.
No comments:
Post a Comment