Mtu huyo atahakikisha kuwa North anakuwa na nguo za peke yake na zinazompendeza. Chanzo kimeliambia jarida la Grazia kuwa mtu huyo anayelipwa mshahara kama stylist wa North atakuwa akifanya kazi bega kwa bega na timu ya mitindo ya Kim na Kanye kutengeza nguo maalum.
Kimesema nguo nyingi za North zinafafana na za mama yake ikiwa ni pamoja na viatu na mikoba.