.jpg)
Diamond
amejikuta hapo siku moja tu baada ya Meneja wake Babu Tale kukamatwa
jana kwa kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi hayo ya
mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta.
Habari zinasema Diamond naye alijisalimisha mwenyewe polisi ambako baada ya mahojiano aliachiwa kwa dhamana. Magwanda aliyokuwa nayo aliyakabidi polisi wakati uchunguzi ukiendelea.

No comments:
Post a Comment