Monday 13 October 2014

Sikiliza Hapa Kazi Mpya Ya Victoria Kimani Ft Pule-I Don’t Love You


Victoria-Kimani-I-Dont-Love-You-Coke-Studio1Msanii ambaye chimbuko lake ni Kenya, Victoria Kimani ametoa wimbo mpya ambao amemshirikisha rapper Pule kutoka South Africa. Wimbo unaitwa “I Don’t Love You” na upo kwenye miondoko ya reggae R&B. Wimbo unazungumzia kuvunjika moyo kimapenzi na usaliti. Kazi ilirekodiwa miaka mitatu iliyopita ila ilikuja kusikika kwenye show yake na Mr Flavour kwenye Coke Studio Africa wiki hii. Producer wa hii kazi ni Travis Cherry.

No comments:

Post a Comment