Monday 13 October 2014

Ulisikia Hussein Machozi Katoa Wimbo Unaitwa Mdogo Mdogo,Ndio Huu

.

Hussein-na-Size-8Msanii ambaye chimbuko lake ni Tanzania ila hufanyia kazi zake nyingi Kenya ametoa wimbo wenye jina sawa na Wimbo wa Diamond Platnumz ‘Mdogo Mdogo’. Kitendo hichi kimetafsiriwa mwanzo wa beef kati ya hawa wasanii wawili. Hii ndio kazi yenyewe, bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment