Umati
wa wananchi wa Mafia wakimsikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananchi hao.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia.
Naibu
Waziri Nishati Charles Kitwanga akihutubia wakazi wa Mafia ambapo
aliwaambia Mafia ndio wilaya pekee itakayopata Umeme kwa asilimia 100%.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya
Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano badala yake
wafanye shughuli za maendeleo kwanza.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia.
No comments:
Post a Comment