Friday 26 September 2014

MAJANGAZZ MCHUNGAJI ANASWA GESTI NA KONDOO WAKE, TAZAMA VIDEO


yaan nisheeda...Wakazi wa eneo la Rosters jijini Nairobi, Kenya walishuhudia kioja si haba wakati mchungaji wa kanisa moja liliko mtaani pumwani alipofumaniwa na mke wa wenyewe kwenye tendo la ndoa. Hata hivyo, mchungaji huyo alijitetea kuwa alikuwa kwenye pilkapilka za kutoa huduma. Jionee. cheki video hapa chini VIDEO HAPA>>

No comments:

Post a Comment