wengine tumeolewa na tuna familia zetu na tunamueshimu Mr nice kama msanii mwenzetu na kama kaka yetu, na ndugu zetu na tunawaeshimu sana na wao wanatueshimu sasa wanavyosikia mambo kama haya wanajisikia vibaya kabisa .Solange akiwa na Mr nice wanashuti movie Location
Sababu tu wao wanavyokazania kuwa sisi tumelala kweli na mr nice kwa kweli nashindwa kuwaelewa .na naona mtu kuwa msanii kunatokea vitu vingi na kwasasa naona kuwa msanii ni vita vikubwa Sana kwa sababu inaomba mtu awe mvumilivu Sana si mchezo kabiasa haya mambo

No comments:
Post a Comment