Nay wa Mitego amesema baada ya kukamilisha ujenzi wa studio
yake mpya iitwayo ‘Free Nation Production’ ameamua kumkabidhi producer
wake Mr T Touch kama zawadi kutokana na kazi ambayo amekuwa akimfanyia
katika muziki wake.
Akizungumza jana, Nay amesema kuwa ameamua kufanya hivyo baada ya kuona kuwa muziki unazaolishwa na producer huyo unamwingizia pesa nyingi kuliko malipo anayompa.
Akizungumza jana, Nay amesema kuwa ameamua kufanya hivyo baada ya kuona kuwa muziki unazaolishwa na producer huyo unamwingizia pesa nyingi kuliko malipo anayompa.
“Wasanii
tuna maproducer ,maproducer wetu tunajuaga kama wamekuwa hawaingizi
kipato kikubwa sana tofauti na sisi wasanii,’ amesema Nay.
No comments:
Post a Comment