Monday 22 September 2014

JE UNAJUA ALICHOKISEMA DAVIDO JUU YA ALBAM MPYA YA WIZKID NA P.SQURE?...BOFYA HAPA

Davido
Mwimbaji wa Nigeria Davido, ametumia akaunti yake ya Twitter kuufikisha ujumbe wake kwa wasanii wenzake Wizkid na P Square kuhusu albam zao.

Davido amewapongeza wasanii hao ambao albam zao zinafanya vizuri sana kwenye iTunes hivi sasa, Wizkid (AYO) na P Square (Double Trouble).

No comments:

Post a Comment