Wednesday 24 September 2014

Wazee na wakazi wote Mkoani Kataviwa metakiwakujitokeza katika maadhimisho ya siku ya wazee,yanayotarajiwa kufanyika Oktoba mosi mwakahuu. 
               Akizun  

AidhaBagayaa mesemakuwa maadhimishohayoyatakayotanguliwanakongamano la zaidiya wazee 400 wakitaifa kutokanje yamkoa waKatavi watashirikiana nawakaziwamkoawaKatavi ambapo kongamano linatarajiwakufanyikaOktoba 30.
Sherehehizi zinamlengamzeemojakwamoja ikiwanikuangaliamasualambalimbali yanayohusuwazee ikiwanipamojanamasualayakijamii,kimila,siasanakiuchumi.




KatikamaandaliziyaSherehehizoseptemba 25 itakuwaniujenziwamabandakatikaViwanjavyaKashaulili,septemba 26 na 27 itakuwaniugawajiwamabandakwawahusika,septemba 28 itakuwakupokeawageni,septemba 29 itakuwaniuzinduziwashereheSeptemba 30 itakuwanikongamano la wazeekujadili mambo yawazeeyanayowezakutekelezwanaserikaliambaposikuyaOktobamosiyatakuwepomaandamanoyatakayoanziaHospitaliyaWilayakuopitiabenkiya CRDB hadiviwanjavyaKashaulili.


KatikasherehehizozasikuyawazeekitaifayatakayofanyikameimosimwakahuuMkoaniKataviyanayatarajiwakuzinduliwanaMkuuwaMkoawaKataviRajabuRutengwemgenirasmiakiwaniWaziriMkuuwaJamhurinyaMuunganowa Tanzania MizengoKayanza Peter PindaambapokaulimbiumwakahuuniWazeeWasiachweNyumaTujengeJamiiShirikishi.

No comments:

Post a Comment