Friday 5 September 2014

Tazama Picha Maalum Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akiwa na Wajumbe Mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma


 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta

 na mjumbe wa Bunge Maalum la 

Katiba, Ally Juma Othman Ally kwenye

 viwanja vya bunge mjini Dodoma
 
Septemba 4, 2014


  Wajumbe wa Bunge Maalum la 

Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pida na

 Anne Kilango Malecala wakiteta 

kwenye viwanja vya Bunge mjini 

Dodoma Septemba 4, 2014.



 Wajumbe wa Bunge Maalum la 

Katiba, 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda 

,Mohamed Raza  (kushoto) na Ally 

Juma Othman Ally (katikati) 

wakizungumza kwenye viwanja vya 

Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 

2014. 



 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda 

akisalimana na Meya wa Songea,

 Charles Mhagama,kwenye viwanja vya

 Bunge mjini Dodoma Septemba 4,

 2014. Katikati ni Mbunge wa Songea 

mjini ,Dr. Emmanuel Nchimbi.Picha na 

Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment