Wednesday 24 September 2014

MADIWANI KATAVI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO VEMA

Madiwani wotendaniyaHalmashauriyaWilayayaMpandawametakiwakutumiamafunzoambayowameyapatakatikaKikao cha seminayautunzajiwamisituyahifadhi.
WitohuoumetolewanaAfisamisituwaHalmashauriyaWilayayaMpandaLucas NyambalawakatiakiongeanaSautiyaKatavikatikaukumbiwaidarayamajikatikamadayauhifadhiwamazingiraikiwaniutengajiwamaeneoyaporiamayonipamojanapori la TongwelinalozungukamakaziyaMishamompakaLugonesilinalopakananavijijivyavikonge,Majalila,Mpembe,MbeganaLugonesinavijijivilivyopondaniyamakambiyawakimbiziMishamoIsenganaBlamata.
HatahivyomalengoyaHalmashauriyaWilayayaMpandajuuyamaeneohayoyoteambayoyametajwanikuwamaporiyahifadhiyanatengwakwaajiliyakuwaMisituyaHalmashauriyaWilayayaMpandaambapomaeneoyanayotajwayanakadiliwakuwanaukubwawatakribanihektalakinne.
Nyambalaamesemakuwamiongonimwamadakuuambazozimejadiliwakatikaseminahiyonipamojakuwajengeamadiwaniuelewajuuyamazingiranahistoriayake ,kufafanuamipakayahifadhi,mchakatowakisheriaambaounapaswakufuatwakuhusumazingirakwakuzingatiasheriayamisitu, nanamnaambavyomisituitasimamiwailikuilindanandipoikafikawakatiafisamisituwaHalmashauriyaWilayayaMpandakuelezakinagaubagajuuyamaeneohayo.

KwamjibuwaSherianamba 14 yamwaka 2002 juuyauhifadhiwamaporiyamisitukamaitasimamiwavizurihuendaikanusurumazingirayetuhususaniyalemazingirayoteambayoyanawezakupoteawakatiwowotendaniyaMkoawetuwaKatavikutokananashughulizakibinadamukamakilimo,ufugajinakilimo.
Nyambalaametajachangamotoambazowanakabiliananazoilikuhifadfhimazingiranipamojanazilezilezinazokanashugulizakibinadamukamakilimo,ufugajiuchomajiovyomisitupamojanamatumiziyanishatiyakuniikiwanisambambanakuzuia wale wanaoingiakatikamisituhiyonakufanyashulinyinginezakibinadamuambapokilaraiaametakiwakuwamlinziwamwenzieilimisituitumikekwavizazivyasasanavijavyo.

Hatahivyokwaupandewawajumbeambaowameshirikikatikakikaohichowamesemalichayachangamotokujitokezajuuyauhifadhiwamazingirawamejiandaakuhakikishajamiiinapokeanjiashirikishiambayowameipatakatikaseminakwawakaziwanaozungukamaeneoyamisitu 

No comments:

Post a Comment