Picha, Producer Man Water Wa Combination Sounds Afunga Ndoa.
mpandafm.com
inampongeza producer Man Water [John vomo Shariza] na mke wake Matilda
Jimmy Igoti kwa kufunga ndoa Jumamosi ya tarehe 20,9,2014. Tunakutakia
maisha bora ya furaha kwenye ndoa yako Kaka.
No comments:
Post a Comment